Posts

leo

 ๐ŸšจKlabu ya @KaizerChiefs imemuweka sokoni kiungo wake mkabaji Anthony Akumu Agay ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Akumu alijiunga na Kaizer chiefs akitokea Zesco United ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ, Kiungo huyo kafunga mabao 2 katika mechi 47 alizocheza na miamba hiyo ya Afrika kusini.

leo

 ๐ŸšจLebong manyama ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ amemaliza mkataba wake na Klabu ya @KazerChiefs ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Lebong alijiunga na miamba hiyo akitokea ligi kuu ya nchini uturuki @KonyasporCF mwaka 2018✍️ Mnasemaje wananzengo hamumtaki hapo kariakoo?๐Ÿ˜

kumsajili striker Lazalous kambole (

  Vyanzo vya kuaminika nchini Afrika ya kusini vimeripoti kua klabu ya @YoungAfricansSC imefikia makubaliano ya kumsajili striker Lazalous kambole (28)๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ aliye achwa na  klabu ya @KaizerChiefsCF ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ. Kambole alisajiliwa na kaizer mwaka 2019 akitokea Zesco United ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ