leo

 🚨Klabu ya @KaizerChiefs imemuweka sokoni kiungo wake mkabaji Anthony Akumu Agay 🇰🇪 Akumu alijiunga na Kaizer chiefs akitokea Zesco United 🇿🇲, Kiungo huyo kafunga mabao 2 katika mechi 47 alizocheza na miamba hiyo ya Afrika kusini.

Comments